sw_tn/mat/10/32.md

28 lines
903 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu sababu kuhofia dhiki ambayo itawapata
# yeyote atakayenikiri mbele za mtu
"yeyote atakayewaambia wengine huyo ni mwanafunzi wangu" au "Yeyote anayekubali mbele za wengine kwamba yeye ni mwamanifu wangu"
# nami pia nitamkiri mbele ya baba yangu aliye mbinguni
Unaweza kuifafanua hiyo ili ieleweke wazi. "nami nitamkiri mbele za Mungu wangu aliye mbinguni kwamba hawa watu ni wangu"
# Babab yangu aliye mbinguni
"Baba wa mbinguni"
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu"
# yeyote atakayenikana mbele za mtu
"yeyote atakayenikana mbele za watu" au "yeye atakayenikataa mbele za watu" au "yeyote atakayekataa kunitambua mimi kwa wengine kuwa yeye ni mwanafunzi wangu"
# Nami nitamkana mbele ya Babayangu wa mbinguni
Unaweza kulifafanua kwa uwazi unaoweza kueleweka. "Nitamkana mbele ya Baba aliye mbinguni kuwa huyu ni wangu"