# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaelekeza wanafunzi wake kuhusu sababu kuhofia dhiki ambayo itawapata # yeyote atakayenikiri mbele za mtu "yeyote atakayewaambia wengine huyo ni mwanafunzi wangu" au "Yeyote anayekubali mbele za wengine kwamba yeye ni mwamanifu wangu" # nami pia nitamkiri mbele ya baba yangu aliye mbinguni Unaweza kuifafanua hiyo ili ieleweke wazi. "nami nitamkiri mbele za Mungu wangu aliye mbinguni kwamba hawa watu ni wangu" # Babab yangu aliye mbinguni "Baba wa mbinguni" # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu" # yeyote atakayenikana mbele za mtu "yeyote atakayenikana mbele za watu" au "yeye atakayenikataa mbele za watu" au "yeyote atakayekataa kunitambua mimi kwa wengine kuwa yeye ni mwanafunzi wangu" # Nami nitamkana mbele ya Babayangu wa mbinguni Unaweza kulifafanua kwa uwazi unaoweza kueleweka. "Nitamkana mbele ya Baba aliye mbinguni kuwa huyu ni wangu"