sw_tn/mat/09/27.md

32 lines
841 B
Markdown

# Sentensi unganishi
Hii inaanzisha habari ya Yesu akiwaponya wanaume wawili waliokuwa vipofu
# Alipokuwa akipita Yesu njiani
Yesu alikuwa akiondoka kwenye mji
# akipita
"Alikuwa akiondoka" au "alikuwa akienda"
# wakamfuata
Hii inamaainisha kuwa walikuwa wakitembea nyuma ya Yesu, siyo lazima kuwa walikuwa wameshakuwa wanafunzi wake.
# uturehemu
Inamaanisha kuwa walitaka Yesu awaponye
# Mwana wa Daudi
Yesu hakuwa mwana halisi wa Daudi, hivyo inaweza kutafsiriwa kama "Ukoo wa Daudi". Ingawa, "Mwana wa Daudi" pia ni cheo alichopewa Masihi, na wale wanaume yawezekana walikuwa wakimwita Yesu kwa Sifa hii.
# Pindi Yesu alipokuwa amefika kwenye nyumba
Hii inaweza kuwa nyumba ya Yesu au nyumba iliyosemwa kwenye 9:10
# Ndiyo,Bwana
Jibulote halijatolewa lakini linaeleweka "Ndiyo, Bwana, tunaamini kuwa unaweza kutuponya."