sw_tn/mat/08/intro.md

456 B

Mathayo 08 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Sura hii inaanza sehemu mpya.

Dhana maalum katika sura hii

Miujiza

Miujiza ya Yesu katika sura hii inaonyesha kwamba ana mamlaka juu ya mambo yanayopita udhibiti wa binadamu. Inaonyesha pia kwamba kumwabudu Yesu ni jibu sahihi kwa matendo yake. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/authority)

<< | >>