sw_tn/mat/08/intro.md

18 lines
456 B
Markdown

# Mathayo 08 Maelezo ya Jumla
## Muundo na upangiliaji
Sura hii inaanza sehemu mpya.
## Dhana maalum katika sura hii
### Miujiza
Miujiza ya Yesu katika sura hii inaonyesha kwamba ana mamlaka juu ya mambo yanayopita udhibiti wa binadamu. Inaonyesha pia kwamba kumwabudu Yesu ni jibu sahihi kwa matendo yake. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/authority]])
## Links:
* __[Matthew 08:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../07/intro.md) | [>>](../09/intro.md)__