sw_tn/mat/08/23.md

36 lines
1.0 KiB
Markdown

# Sentensi unganishi
Hapa mandhari yanahamia kwenye simulizi la Yesu akituliza dhoruba wakati yeye na wanafunzi walipokuwa wakivuka bahari ya Galilaya.
# alipoingia kwenye boti
"kuingia ndani ya boti"
# wanafunzi wake wakamfuata
Jaribu kutumia neno lilelile kwa "wanafunzi" na "kufuata" ambalo umelitumia
# Tazama
Hii inaonyesha kuanza kwa kutukio jingine kubwa la hadithi. Lugha yako inaweza ikawa na njia nyingine ya kuonyesha hili.
# likatokea wimbi kubwa baharini
"wimbi la nguvu likatokea baharini"
# ndipo sasa boti ikazungukwa na mawimbi
Hii inaweza kutafsiriwa kwa mfumo tendaji. "ndipo sasa mawimbi yakafunika boti"
# wakamwamsha, wakamwambia,"tuokoe
Maana inayowezekana ni 1) kwanza walimwamsha Yesu na ndipo wakasema, "tuokoe" au 2) walipokuwa wakimwamsha walimwambia "tuokoe"
# sisi
ikiwa unataka kutafsiri neno hili kama pamoja au kipekee, ndipo kipekee ni bora. Wanafunzi yawezekana walimaanisha walitaka Yesu awaokoe wanafunzi na yeye mwenyewe kwenye kuzama.
# sisi tunaelekea kufa
"sisi tunakwenda kufa"