sw_tn/mat/08/18.md

40 lines
1008 B
Markdown

# Sentensi unganisha
Hapa simulizi linabadilika na kusimulia jinsi Yesu alivyosema juu ya watu waliotaka kumfuata
# Kisha
Hili neno limetumika hapa kuonyesha alama ya kikomo cha hadithi. Hapa Mathayo anaanza kueleza sehemu mpya ya hadithi.
# yeye alitoa maelekezo
"aliwaambia wanafunzi wake"
# Ndipo
Hapa inamaanisha baada ya Yesu "kutoa maelekezo" lakini kabla yake kuingia ndani ya boti.
# popote
"sehemu yeyote"
# Mbwea wana mashimo, na ndege wa angani wana vichari
Hii ina maana hata wanyama wakali wana sehemu ya kupumzika.
# mbwea
Mbwea ni wanyama kama mbwa. Wanakula ndege wadogo na wanyama wengine wadogo. Ikiwa mbwea hawajulikani kwenye eneo lako, tumia kwa ujumla mbwa - kama viumbe au mnyama mwingine mkali.
# shimo
Mbwea wanatengeneza mashimo ardhini kwa kuishi humo. Tumia neno sahihi kwa eneo ambalo mnyama "mbwea" anaishi.
# mwanadamu
Yesu anaongelea kuhusu yeye mwenyewe
# hana sehemu ya kulaza kichwa chake
Hii ina maanisha sehemu ya kulala. "hana sehemu yake ya kulala."