sw_tn/mat/07/15.md

24 lines
799 B
Markdown

# Jihadharini na
"jilindeni na"
# wanakuja wamevaa ngozi ya kondoo,lakini kweli ni mbwa wakali
Huu msemo una maana manabii wa uongo watajifanya wazuri na kutaka kuwasaidia, lakini kwa ualisia ni waovu na watawadhuru.
# Kwa matunda yao utawatambua
Huu msemo unarejea matendo ya mtu. "Kama vile unavyofahamu mti kwa tunda linalotokea, utamtabua nabii wa uongo kwa matendo yao."
# Je watu wanaweza kuvuna ....miiba?
Yesu anatumia swali kujibu watu. Watu wangetambua kwamba jibu siyo. "watu hawezi kuvuna...miba."
# kila mti mzuri huzaa matunda mazuri
Yesu anaendelea kutumia msemo wa tunda akimaanisha nabii mzuri ambaye anafanya kazi nzuri au maneno mazuri.
# mti mbaya huzaa matunda mabaya
Yesu anaendelea kutumia mfano wa matunda kwa kurejea kwa nabii mbaya ambaye anafanya kazi ya uovu.