# Jihadharini na "jilindeni na" # wanakuja wamevaa ngozi ya kondoo,lakini kweli ni mbwa wakali Huu msemo una maana manabii wa uongo watajifanya wazuri na kutaka kuwasaidia, lakini kwa ualisia ni waovu na watawadhuru. # Kwa matunda yao utawatambua Huu msemo unarejea matendo ya mtu. "Kama vile unavyofahamu mti kwa tunda linalotokea, utamtabua nabii wa uongo kwa matendo yao." # Je watu wanaweza kuvuna ....miiba? Yesu anatumia swali kujibu watu. Watu wangetambua kwamba jibu siyo. "watu hawezi kuvuna...miba." # kila mti mzuri huzaa matunda mazuri Yesu anaendelea kutumia msemo wa tunda akimaanisha nabii mzuri ambaye anafanya kazi nzuri au maneno mazuri. # mti mbaya huzaa matunda mabaya Yesu anaendelea kutumia mfano wa matunda kwa kurejea kwa nabii mbaya ambaye anafanya kazi ya uovu.