sw_tn/mat/07/11.md

20 lines
645 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. Viwakilishi vya "ninyi" na :wenu" ni vya wingi.
# ni kwa kiasi gani zaidi Baba aliye mbinguni atawapa...... yeye?
Yesu anatumia swali kujibu watu. "ndipo Baba yenu aliye mbinguni hakika atampa....yeye."
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu.
# unataka kufanyiwa kitu chochote na watu
kwa njia yeyote lolote unalotaka ufanyiwe na wengine"
# kwa kuwa hiyo ni sheria na unabii
Hapa "sheria" na "unabii" kinarejea kile ambacho Musa na manabii walikiandika. kwa kuwa hiki ndicho kile Musa na manabii walifundisha kwenye maandiko."