# Maelezo kwa ujumla Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. Viwakilishi vya "ninyi" na :wenu" ni vya wingi. # ni kwa kiasi gani zaidi Baba aliye mbinguni atawapa...... yeye? Yesu anatumia swali kujibu watu. "ndipo Baba yenu aliye mbinguni hakika atampa....yeye." # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu. # unataka kufanyiwa kitu chochote na watu kwa njia yeyote lolote unalotaka ufanyiwe na wengine" # kwa kuwa hiyo ni sheria na unabii Hapa "sheria" na "unabii" kinarejea kile ambacho Musa na manabii walikiandika. kwa kuwa hiki ndicho kile Musa na manabii walifundisha kwenye maandiko."