sw_tn/mat/06/30.md

28 lines
863 B
Markdown

# Maelezo kwa ujumla
Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao kibinafsi. viwakilishi vya "ninyi" na "wenye" vimo katika wingi.
# anayavalisha majani
Huu ni msemo ukiwa na maana Mungu anayapendezesha maua
# majani
Ikiwa lugha yako ina neno linalohisi "majani" na neno ulilotumia kwa "maua" kwa mstari uliopita, unaweza kutumia hapa.
# yanatupwa na kuteketea
Wayahudi tena walitumia majani kwa moto na kupikia vyakula vyao. Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. "mtu mmoja alitupa katika moto" au "mtu mmoja alichoma"
# ni kwa kiwango gani atawavalisha ninyi ....imani?
Yesu anatumia swali kufundisha watu.AT: yeye hakika atawavisha ninyi...imani."
# ninyi wenye imani ndogo
"ninyi ambao mna imani ndogo." Yesu anawatuhumu watu kwa sababu walikuwa na imani ndogo na Mungu.
# Hivyo basi
"Kwa sababu ya hayo yote"