# Maelezo kwa ujumla Yesu anawaambia makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao kibinafsi. viwakilishi vya "ninyi" na "wenye" vimo katika wingi. # anayavalisha majani Huu ni msemo ukiwa na maana Mungu anayapendezesha maua # majani Ikiwa lugha yako ina neno linalohisi "majani" na neno ulilotumia kwa "maua" kwa mstari uliopita, unaweza kutumia hapa. # yanatupwa na kuteketea Wayahudi tena walitumia majani kwa moto na kupikia vyakula vyao. Hii inaweza kuelezwa kwa mfumo hai. "mtu mmoja alitupa katika moto" au "mtu mmoja alichoma" # ni kwa kiwango gani atawavalisha ninyi ....imani? Yesu anatumia swali kufundisha watu.AT: yeye hakika atawavisha ninyi...imani." # ninyi wenye imani ndogo "ninyi ambao mna imani ndogo." Yesu anawatuhumu watu kwa sababu walikuwa na imani ndogo na Mungu. # Hivyo basi "Kwa sababu ya hayo yote"