sw_tn/mat/06/25.md

28 lines
666 B
Markdown

# Maelezo kwauumla
Hapa viwakilishi vya "ku" na "yako" vyote viko katika wingi
# Ninakuambia wewe
Hii inaongeza msisitizo kwa kile atakachosema Yesu baadaye
# kwako
Yesu anaongea kwa kikundi cha watu kuhusu kitakachotokea kwao kwa mtu binafsi. Anapotumia "kwako" na "wako" yote ni wingi.
# maisha si zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi?
Yesu anatumia swali kufundisha watu. "uhakika maisha ni zaidi ya kile unachokula, na mwili wako ni zaidi ya kile unachovaa."
# ghala
sehemu ya kutunza mazao
# Baba
Hii ni sifa muhimu ya Mungu
# Je ninyi hamna thamani kuliko wao?
Yesu anatumia swali kufundisha watu. "uhakika ninyi mna thamani zaidi ya ndege."