# Maelezo kwauumla Hapa viwakilishi vya "ku" na "yako" vyote viko katika wingi # Ninakuambia wewe Hii inaongeza msisitizo kwa kile atakachosema Yesu baadaye # kwako Yesu anaongea kwa kikundi cha watu kuhusu kitakachotokea kwao kwa mtu binafsi. Anapotumia "kwako" na "wako" yote ni wingi. # maisha si zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi? Yesu anatumia swali kufundisha watu. "uhakika maisha ni zaidi ya kile unachokula, na mwili wako ni zaidi ya kile unachovaa." # ghala sehemu ya kutunza mazao # Baba Hii ni sifa muhimu ya Mungu # Je ninyi hamna thamani kuliko wao? Yesu anatumia swali kufundisha watu. "uhakika ninyi mna thamani zaidi ya ndege."