sw_tn/mat/05/36.md

12 lines
418 B
Markdown

# chako ... hu
Yesu anaongea na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. Matukio yote ya viwakilishi hivi viko katika umoja, lakini inakupass kuvitafsiri kama wingi.
# kuapa
Hii inamaanisha kuapa. Tazama ilivyotafsiriwa katika 5:23
# Bali maneno yenu yawe 'ndiyo, ndiyo,' au 'hapana. hapana'
kama unamaanisha 'ndiyo.' sema 'ndiyo,' na kama unamaanisha ;hapana,' sema 'hapana,'