# chako ... hu Yesu anaongea na makutano juu ya kile kinachoweza kutokea baadaye katika maisha yao binafsi. Matukio yote ya viwakilishi hivi viko katika umoja, lakini inakupass kuvitafsiri kama wingi. # kuapa Hii inamaanisha kuapa. Tazama ilivyotafsiriwa katika 5:23 # Bali maneno yenu yawe 'ndiyo, ndiyo,' au 'hapana. hapana' kama unamaanisha 'ndiyo.' sema 'ndiyo,' na kama unamaanisha ;hapana,' sema 'hapana,'