sw_tn/mat/04/intro.md

1.1 KiB

Mathayo 04 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka kando kidogo nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari yote ya mistari ya 6, 10, 15 na 16, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Ufalme wa mbinguni umekaribia

Wataalam wanajadili ikiwa "ufalme wa mbinguni" ulikuwepo wakati huu au bado unakuja. Tafsiri za Kiingereza mara nyingi hutumia maneno "karibu," lakini hii inaweza kusababisha changamoto katika kutafsiri. Matoleo mengine hutumia maneno "inakaribia" na "yamekaribia."

"Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu"

Kwa Kiingereza, msomaji anaweza kuelewa kauli hii katika 4:6 kama inayoonyesha kwamba Shetani hajui kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. Kwa sababu Shetani anajua kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, haipaswi kutafsiriwa kwa njia hii. Inaweza kutafsiriwa kama "kwa sababu wewe ni Mwana wa Mungu." (See: [[rc:///tw/dict/bible/kt/satan]] na [[rc:///tw/dict/bible/kt/sonofgod]])

<< | >>