sw_tn/mat/03/intro.md

1000 B

athayo 03 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka kando kidogo nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari yote ya mstari wa 3, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.

Dhana maalum katika sura hii

"Zaeni matunda yanayostahili toba"

Matunda ni taswira ya kawaida katika maandiko. Inatumika kuelezea matokeo ya tabia nzuri au mbaya. Katika sura hii, matunda mazuri ni matokeo ya kuishi kama Mungu anavyoamuru. (See: rc://*/tw/dict/bible/other/fruit)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

"Ufalme wa mbinguni umekaribia"

Wataalam wanajadili ikiwa "ufalme wa mbinguni" ulikuwepo wakati huu au bado unakuja. Tafsiri za Kiingereza mara nyingi hutumia maneno "karibu," lakini hii inaweza kusababisha changamoto katika kutafsiri. Matoleo mengine hutumia maneno "inakaribia" na "yamekaribia."

<< | >>