sw_tn/mat/02/22.md

24 lines
600 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha:
Huu ni mwisho wa sehemu ya simulizi ambayo ilianza katika Mat. 2:1. kuhusu jaribio la Herode kumwua mfalme mpya wa Wayahudi.
# Lakini aliposikia
"Lakini Yusufu aliposikia"
# Arikeleu
Hili ni jina la mwana wa Herode.
# aliogopa
"Yusufu aliogopa"
# lile lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii
Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "lile Bwana alilolinena hapo zamani kwa njia ya manabii"
# ataitwa mnazarayo
Hapa "ataitwa" anamaanisha Yesu. Manabii kabla ya wakati wa Yesu wangelimtaja kama Masihi au Kristo. "watu wangesema kuwa Kristo ni Mnazarayo."