# Maelezo yanayounganisha: Huu ni mwisho wa sehemu ya simulizi ambayo ilianza katika Mat. 2:1. kuhusu jaribio la Herode kumwua mfalme mpya wa Wayahudi. # Lakini aliposikia "Lakini Yusufu aliposikia" # Arikeleu Hili ni jina la mwana wa Herode. # aliogopa "Yusufu aliogopa" # lile lililonenwa na Bwana kwa njia ya nabii Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "lile Bwana alilolinena hapo zamani kwa njia ya manabii" # ataitwa mnazarayo Hapa "ataitwa" anamaanisha Yesu. Manabii kabla ya wakati wa Yesu wangelimtaja kama Masihi au Kristo. "watu wangesema kuwa Kristo ni Mnazarayo."