sw_tn/mat/02/16.md

24 lines
720 B
Markdown

# Maelezo yanayounganisha:
Hapa mandhari yahamia kurudi kwa Herode na hueleza alifanya nini baada ya kugundua kuwa mamajusi walikuwa wamemdanganya.
# Taarifa kwa ujumla
Matukio haya yalitokea kabla kifo cha Herode, ambayo mwandishi ameyataja katika2:13
# amekwisha dhihakiwa na mamajusi
Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "mamajusi walikuwa wamemwaibisha kwa kumdanganya."
# Alituma na kuwaua watoto wote wa kiume
Herode hakuua watoto yeye mwenyewe. "Alitoa amri ili maaskali wake watoto wote wa kiume" au "Aliwatuma maaskari pale kuwa watoto wote wa kiume.
# wenye umri wa miaka miwili na chini yake
"Umri wa miaka 2 na wadogo chini ya umri huo.
# kwa mujibu wa wakati
"kutegemeana na wakati"