# Maelezo yanayounganisha: Hapa mandhari yahamia kurudi kwa Herode na hueleza alifanya nini baada ya kugundua kuwa mamajusi walikuwa wamemdanganya. # Taarifa kwa ujumla Matukio haya yalitokea kabla kifo cha Herode, ambayo mwandishi ameyataja katika2:13 # amekwisha dhihakiwa na mamajusi Hii inaweza kuelezwa katika namna iliyo tendaji. "mamajusi walikuwa wamemwaibisha kwa kumdanganya." # Alituma na kuwaua watoto wote wa kiume Herode hakuua watoto yeye mwenyewe. "Alitoa amri ili maaskali wake watoto wote wa kiume" au "Aliwatuma maaskari pale kuwa watoto wote wa kiume. # wenye umri wa miaka miwili na chini yake "Umri wa miaka 2 na wadogo chini ya umri huo. # kwa mujibu wa wakati "kutegemeana na wakati"