sw_tn/mat/01/20.md

32 lines
689 B
Markdown

# Kama alivyofikiri
"Kama Daudi alivyofikiri"
# alimtokea katika ndoto
"alikuja kwake wakati Yusufu alikuwa akiota ndoto"
# mwana wa Daudi
Hapa "mwana" humaanisha "mzaliwa"
# aliyechukuliwa mimba katika tumbo lake amechukliwa mimba kwa Roho Mtakatifu
Hii inaweza kuelezewa kwa namna iliyo tendaji. "Roho Mtakatifu alisababisha Mariamu kuwa mjamzito na kuwa na mtoto huyu."
# Naye atamzaa mwana
Kwa sababu Mungu alimtuma malaika, malaika alijua mtoto atakuwa mvulana.
# utamwita jina lake
Hii ni amri. "utamwita" au "yakupasa kumpa jina"
# kwa kuwa ataokoa
Mtafsiri anaweza kuongeza rejeo inayo sema "Jina 'Yesu' maana yake Bwana huokoa."
# watu wake
Hii humaanisha Wayahudi