# Kama alivyofikiri "Kama Daudi alivyofikiri" # alimtokea katika ndoto "alikuja kwake wakati Yusufu alikuwa akiota ndoto" # mwana wa Daudi Hapa "mwana" humaanisha "mzaliwa" # aliyechukuliwa mimba katika tumbo lake amechukliwa mimba kwa Roho Mtakatifu Hii inaweza kuelezewa kwa namna iliyo tendaji. "Roho Mtakatifu alisababisha Mariamu kuwa mjamzito na kuwa na mtoto huyu." # Naye atamzaa mwana Kwa sababu Mungu alimtuma malaika, malaika alijua mtoto atakuwa mvulana. # utamwita jina lake Hii ni amri. "utamwita" au "yakupasa kumpa jina" # kwa kuwa ataokoa Mtafsiri anaweza kuongeza rejeo inayo sema "Jina 'Yesu' maana yake Bwana huokoa." # watu wake Hii humaanisha Wayahudi