sw_tn/mal/01/06.md

16 lines
407 B
Markdown

# mnadharau jina langu
"mmenifanyia kama mnayenichukia"
# Lakini mwasema, 'ni kwa namna gani tumekudharau?
"ninyi makuhani mnasema, 'je tumekutendeaje kama tuna kuchukia? Tafsiri zingine zinasema: Mnanidharau lakini mwasema hapana!"
# Mkate ulio najisi.
chakula ambacho hakikubaliki kwa dhabihu
# Na mnasema, 'Tunakunajisi kwa namna gani?'
Tafsiri nyingine: Mnadhani mmekubalika kwangu lakini sivyo.