# mnadharau jina langu "mmenifanyia kama mnayenichukia" # Lakini mwasema, 'ni kwa namna gani tumekudharau? "ninyi makuhani mnasema, 'je tumekutendeaje kama tuna kuchukia? Tafsiri zingine zinasema: Mnanidharau lakini mwasema hapana!" # Mkate ulio najisi. chakula ambacho hakikubaliki kwa dhabihu # Na mnasema, 'Tunakunajisi kwa namna gani?' Tafsiri nyingine: Mnadhani mmekubalika kwangu lakini sivyo.