sw_tn/mal/01/01.md

36 lines
934 B
Markdown

# Agizo la neno la Bwana kwa Israel kwa Mkono wa Malaki.
"Bwana alizungumza haya maneno kwa waisrael kupitia Malaki"
# Kwa mkono wa Malaki
kupitia kutenda kwa Malaki
# Lakini wasema, "Umetupenda kwa namna gani?"
Hili swali linaonyesha shaka, au maswali juu ya ukweli wa neno la Mungu. Mungu anatumia swali kuwakemea watu. Tafsiri mbadala: lakini wasema, "Hujatupenda!"
# Hakuwa Esau ndugu yake Yakobo?
"Nitawaambia jinsi ninavyowapenda ninyi. mnajua kwamba Esau ni ndugu yake Yakobo."
# Asema Bwana
Bwana mwenye kweli amesema haya"
# Nimempenda Yakobo
Bwana alichagua kuwa na mahusiano na Yakobo na kuwa Mungu ya Yakobo.
# Nimemchukia Esau
Bwana alimkataa Esau
# Nimeifanya Milima yake kuwa ya uharibifu na kuteketezwa
"Nimeifanya milima yake kuwa haifai kukaa ndani yake"
# Na nimeufanya urithi wake kuwa sehemu ya mbweha wa mwituni
"Na nimeifanya nchi anayorithi kuwa jangwa ambapo wanyama pekee wanaweza kuishi"