# Agizo la neno la Bwana kwa Israel kwa Mkono wa Malaki. "Bwana alizungumza haya maneno kwa waisrael kupitia Malaki" # Kwa mkono wa Malaki kupitia kutenda kwa Malaki # Lakini wasema, "Umetupenda kwa namna gani?" Hili swali linaonyesha shaka, au maswali juu ya ukweli wa neno la Mungu. Mungu anatumia swali kuwakemea watu. Tafsiri mbadala: lakini wasema, "Hujatupenda!" # Hakuwa Esau ndugu yake Yakobo? "Nitawaambia jinsi ninavyowapenda ninyi. mnajua kwamba Esau ni ndugu yake Yakobo." # Asema Bwana Bwana mwenye kweli amesema haya" # Nimempenda Yakobo Bwana alichagua kuwa na mahusiano na Yakobo na kuwa Mungu ya Yakobo. # Nimemchukia Esau Bwana alimkataa Esau # Nimeifanya Milima yake kuwa ya uharibifu na kuteketezwa "Nimeifanya milima yake kuwa haifai kukaa ndani yake" # Na nimeufanya urithi wake kuwa sehemu ya mbweha wa mwituni "Na nimeifanya nchi anayorithi kuwa jangwa ambapo wanyama pekee wanaweza kuishi"