sw_tn/luk/24/52.md

322 B

Taarifa za jumla:

Mistari hii inaelezea matendo ya Mitume

walimwabudu yeye

"Mitume walimwabudu Yesu"

na kurudi

kisha walirudi

waliendelea kubaki hekaluni

hii inamaanisha kuwa walienda hekaluni kila siku

hekaluni

makuhani peke yao ndio waliruhusiwa kuingia hekaluni

wakimbariki Mungu

wakimsifu Mungu