sw_tn/luk/24/52.md

24 lines
322 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa za jumla:
Mistari hii inaelezea matendo ya Mitume
# walimwabudu yeye
"Mitume walimwabudu Yesu"
# na kurudi
kisha walirudi
# waliendelea kubaki hekaluni
hii inamaanisha kuwa walienda hekaluni kila siku
# hekaluni
makuhani peke yao ndio waliruhusiwa kuingia hekaluni
# wakimbariki Mungu
wakimsifu Mungu