# Taarifa za jumla: Mistari hii inaelezea matendo ya Mitume # walimwabudu yeye "Mitume walimwabudu Yesu" # na kurudi kisha walirudi # waliendelea kubaki hekaluni hii inamaanisha kuwa walienda hekaluni kila siku # hekaluni makuhani peke yao ndio waliruhusiwa kuingia hekaluni # wakimbariki Mungu wakimsifu Mungu