sw_tn/luk/24/45.md

24 lines
558 B
Markdown

# Kisha akafungua akili zao, kwamba waweze kuyaelewa maandiko.
Tafsiri mbadala: "Kisha akawawezesha kuyaelewa maandiko"
# Kwamba imeandikwa
Tafsiri mbadala: "Hivi ndivyo watu hapo zamani waliandika"
# siku ya tatu
"baada ya usiku mbili"
# toba na msamaha wa dhambi lazima ihubiriwe
Tafsiri mbadala: "wafuasi wa Kristo inawapasa kuhubiri kwamba watu wanahitaji kutubu ili Mungu awasamehe dhambi zao"
# kwa jina lake
Tafsiri mbadala: "kama wawakilishi wake" au "na mamlaka yake"
# mataifa yote
"makabila yote kwenye jamii" au "makundi yote ya watu"