sw_tn/luk/24/45.md

558 B

Kisha akafungua akili zao, kwamba waweze kuyaelewa maandiko.

Tafsiri mbadala: "Kisha akawawezesha kuyaelewa maandiko"

Kwamba imeandikwa

Tafsiri mbadala: "Hivi ndivyo watu hapo zamani waliandika"

siku ya tatu

"baada ya usiku mbili"

toba na msamaha wa dhambi lazima ihubiriwe

Tafsiri mbadala: "wafuasi wa Kristo inawapasa kuhubiri kwamba watu wanahitaji kutubu ili Mungu awasamehe dhambi zao"

kwa jina lake

Tafsiri mbadala: "kama wawakilishi wake" au "na mamlaka yake"

mataifa yote

"makabila yote kwenye jamii" au "makundi yote ya watu"