# Kisha akafungua akili zao, kwamba waweze kuyaelewa maandiko. Tafsiri mbadala: "Kisha akawawezesha kuyaelewa maandiko" # Kwamba imeandikwa Tafsiri mbadala: "Hivi ndivyo watu hapo zamani waliandika" # siku ya tatu "baada ya usiku mbili" # toba na msamaha wa dhambi lazima ihubiriwe Tafsiri mbadala: "wafuasi wa Kristo inawapasa kuhubiri kwamba watu wanahitaji kutubu ili Mungu awasamehe dhambi zao" # kwa jina lake Tafsiri mbadala: "kama wawakilishi wake" au "na mamlaka yake" # mataifa yote "makabila yote kwenye jamii" au "makundi yote ya watu"