sw_tn/luk/24/44.md

12 lines
300 B
Markdown

# Nilipokuwa nanyi
"Wakati bado nilipokuwa nanyi"
# yote yaliyoandikwa kwenye sheria ya Musa na manabii na zaburi
Tafsiri mbadala: "yote ambayo Musa, manabii, na waandishi wa Zaburi waliandika kuhusu mimi"
# lazima yatimilike
Tafsiri mbadala: "Mungu atayatimiliza" au "Mungu atayafanya yatokee"