# Nilipokuwa nanyi "Wakati bado nilipokuwa nanyi" # yote yaliyoandikwa kwenye sheria ya Musa na manabii na zaburi Tafsiri mbadala: "yote ambayo Musa, manabii, na waandishi wa Zaburi waliandika kuhusu mimi" # lazima yatimilike Tafsiri mbadala: "Mungu atayatimiliza" au "Mungu atayafanya yatokee"