sw_tn/luk/24/38.md

363 B

Kwa nini mnafadhaika?

Yesu anatumia swali kuwatia moyo. Tafsiri mbadala: "Msiogopeshwe."

Kwanini maswali yanainuka mioyoni mwenu?

Yesu anatumia swali kuwakemea kidogo. Yesu alikuwa anawaambia wasitie mashaka kwamba yu hai. Tafsiri mbadala: "Msitie mashaka katika akili zenu!" au "Acheni kutia mashaka!"

nyama na mifupa

Hii ni namna ya kumaanisha mwili