sw_tn/luk/24/38.md

12 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa nini mnafadhaika?
Yesu anatumia swali kuwatia moyo. Tafsiri mbadala: "Msiogopeshwe."
# Kwanini maswali yanainuka mioyoni mwenu?
Yesu anatumia swali kuwakemea kidogo. Yesu alikuwa anawaambia wasitie mashaka kwamba yu hai. Tafsiri mbadala: "Msitie mashaka katika akili zenu!" au "Acheni kutia mashaka!"
# nyama na mifupa
Hii ni namna ya kumaanisha mwili