sw_tn/luk/24/33.md

616 B

Wakanyanyuka

Inahusiana na wale watu wawili

nyanyuka

"kuamka" au "kusimama"

wale kumi na moja

Hii inaongelea wale mitume wa Yesu. Yuda hakuwa pamoja nao.

wakisema, "Bwana amefufuka kwelikweli

Wale mitume kumi na moja na wale waliokuwa pamoja nao walisema hivyo.

Hivyo wakawaambia

"Hivyo wale watu wawili wakawaambia"

mambo yaliyotokea njiani

Hii inamaanisha Yesu alivyowatokea wakiwa njiani kuelekea kijiji cha Emmau.

namna Yesu alivyodhihirishwa kwao

Tafsiri mbadala: "namna walivyomtambua Yesu"

katika kuumega mkate

"wakati Yesu alipouvunja mkate" au "wakati Yesu alipouchana mkate"