sw_tn/luk/24/33.md

32 lines
616 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakanyanyuka
Inahusiana na wale watu wawili
# nyanyuka
"kuamka" au "kusimama"
# wale kumi na moja
Hii inaongelea wale mitume wa Yesu. Yuda hakuwa pamoja nao.
# wakisema, "Bwana amefufuka kwelikweli
Wale mitume kumi na moja na wale waliokuwa pamoja nao walisema hivyo.
# Hivyo wakawaambia
"Hivyo wale watu wawili wakawaambia"
# mambo yaliyotokea njiani
Hii inamaanisha Yesu alivyowatokea wakiwa njiani kuelekea kijiji cha Emmau.
# namna Yesu alivyodhihirishwa kwao
Tafsiri mbadala: "namna walivyomtambua Yesu"
# katika kuumega mkate
"wakati Yesu alipouvunja mkate" au "wakati Yesu alipouchana mkate"