sw_tn/luk/24/25.md

12 lines
423 B
Markdown

# mioyo mizito ya kuamini
Tafsiri mbadala: "akili zenu ni nzito sana kuamini" au "ninyi ni wazito kuamini"
# Je haikuwa lazima ...utukufu?
Yesu anatumia swali kuwakumbusha wanafunzi juu ya kile ambacho manabii walisema. Tafsiri mbadala: "Ilikuwa ni lazima...utukufu."
# kuingia katika utukufu wake
Hii inamaanisha juu ya nyakati ambazo Yesu atamuonyesha kila mmoja uzuri wake na ukuu wake na kupokea heshima na ibada.