# mioyo mizito ya kuamini Tafsiri mbadala: "akili zenu ni nzito sana kuamini" au "ninyi ni wazito kuamini" # Je haikuwa lazima ...utukufu? Yesu anatumia swali kuwakumbusha wanafunzi juu ya kile ambacho manabii walisema. Tafsiri mbadala: "Ilikuwa ni lazima...utukufu." # kuingia katika utukufu wake Hii inamaanisha juu ya nyakati ambazo Yesu atamuonyesha kila mmoja uzuri wake na ukuu wake na kupokea heshima na ibada.