sw_tn/luk/24/25.md

423 B

mioyo mizito ya kuamini

Tafsiri mbadala: "akili zenu ni nzito sana kuamini" au "ninyi ni wazito kuamini"

Je haikuwa lazima ...utukufu?

Yesu anatumia swali kuwakumbusha wanafunzi juu ya kile ambacho manabii walisema. Tafsiri mbadala: "Ilikuwa ni lazima...utukufu."

kuingia katika utukufu wake

Hii inamaanisha juu ya nyakati ambazo Yesu atamuonyesha kila mmoja uzuri wake na ukuu wake na kupokea heshima na ibada.