sw_tn/luk/24/22.md

266 B

Lakini pia

Wale wanaume waliichukulia taarifa ya wale wanawake kuwa ni kitu kizuri, siyo kitu kingine kibaya cha kuongezea juu ya kifo cha Yesu.

baada ya kuwapo kaburini

Wale wanawake ndiyo waliokuwa pale kaburini.

maono ya malaika

"malaika katika maono"