# Lakini pia Wale wanaume waliichukulia taarifa ya wale wanawake kuwa ni kitu kizuri, siyo kitu kingine kibaya cha kuongezea juu ya kifo cha Yesu. # baada ya kuwapo kaburini Wale wanawake ndiyo waliokuwa pale kaburini. # maono ya malaika "malaika katika maono"