sw_tn/luk/24/22.md

12 lines
266 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Lakini pia
Wale wanaume waliichukulia taarifa ya wale wanawake kuwa ni kitu kizuri, siyo kitu kingine kibaya cha kuongezea juu ya kifo cha Yesu.
# baada ya kuwapo kaburini
Wale wanawake ndiyo waliokuwa pale kaburini.
# maono ya malaika
"malaika katika maono"