sw_tn/luk/24/19.md

12 lines
505 B
Markdown

# Mambo gani?
"Mambo gani yametokea?" au "Mambo gani yaliyofanyika?"
# muweza katika matendo na maneno mbele za Mungu na watu wote
Hii inamaanisha kwamba Mungu alimfanya Yesu kuwa mwenye nguvu na kwamba watu walimuona kwamba alikuwa muwez. Tafsiri mbadala: "na Mungu alimpa nguvu kufanya na kufundisha mambo makubwa ambayo yaliwashangaza watu wote."
# walivyomtoa kuhukumiwa kifo na kumsulubisha
Tafsiri mbadala: "walimtoa Yesu kwa kiongozi wa Kirumi ili kiongozi huyo aweze kumuua kwa kumsulubisha"