sw_tn/luk/24/19.md

505 B

Mambo gani?

"Mambo gani yametokea?" au "Mambo gani yaliyofanyika?"

muweza katika matendo na maneno mbele za Mungu na watu wote

Hii inamaanisha kwamba Mungu alimfanya Yesu kuwa mwenye nguvu na kwamba watu walimuona kwamba alikuwa muwez. Tafsiri mbadala: "na Mungu alimpa nguvu kufanya na kufundisha mambo makubwa ambayo yaliwashangaza watu wote."

walivyomtoa kuhukumiwa kifo na kumsulubisha

Tafsiri mbadala: "walimtoa Yesu kwa kiongozi wa Kirumi ili kiongozi huyo aweze kumuua kwa kumsulubisha"