# Mambo gani? "Mambo gani yametokea?" au "Mambo gani yaliyofanyika?" # muweza katika matendo na maneno mbele za Mungu na watu wote Hii inamaanisha kwamba Mungu alimfanya Yesu kuwa mwenye nguvu na kwamba watu walimuona kwamba alikuwa muwez. Tafsiri mbadala: "na Mungu alimpa nguvu kufanya na kufundisha mambo makubwa ambayo yaliwashangaza watu wote." # walivyomtoa kuhukumiwa kifo na kumsulubisha Tafsiri mbadala: "walimtoa Yesu kwa kiongozi wa Kirumi ili kiongozi huyo aweze kumuua kwa kumsulubisha"